Karibuni watanzania wenzangu kwenye hii blog yetu itakayokuwa inawaletea mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii yetu tuta toa maoni mbalimbali kuhusiana na mada tofauti zitakazokua zimejitokeza pamoja na ushauri tutapashana habari mbalimbali kuhusu jamii yetu karibuni sana!
Sunday, February 12, 2012
MBUGA ZA WANYAMA NA FAIDA ZAKE
Je? ni jinsigani tunanufaika na mbuga za wanyama au ifadhi zetu za taifa? nini kifanyike ili tuweze kunufaika na ifadhi za taifa? majangiri wanapunguza idadi ya wanyama waishio polini kwa kuwawinda na kuwauwa ili waweze kujipatia kipato sio jambo zuri kuingia katika ifadhi za wanyamapoli na kuwunda bila kibali nivizuri tukawatunza wanyama wetu ili baadaye watuletee faida kubwa kwa taifa letu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment