Karibuni watanzania wenzangu kwenye hii blog yetu itakayokuwa inawaletea mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii yetu tuta toa maoni mbalimbali kuhusiana na mada tofauti zitakazokua zimejitokeza pamoja na ushauri tutapashana habari mbalimbali kuhusu jamii yetu karibuni sana!
Sunday, February 12, 2012
MATATIZO YA MGAO WA UMEME
Kutokana na kuwepo kwa matatizo mbalimbali ya kukatika ovyo kwa umeme pasipokua na mpangilio uliomahalumu watanzania walio wengi wamejitokeza kulalamikia kuhusu tatizo la mgao wa umeme linaloendelea baadhi ya mikoa ikiwemo mwanza bila ya kujua chanzo ni nini na bilakupewa taarifa yoyote ama ratiba ya mgao uwo ukizingatia sikuchache zilizopita tanesco ilitangaza kupanda kwa gharama za umeme chaajabu nikwamba gharama zimepanda lakini uboreshaji wa miundombinu bado ni dhaifu ndokama hivyo umeme kuanzia asubui mpaka jioni aupo je? tufanyeje?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment