Monday, February 13, 2012

ROCK CITY NATIVE

Mji wa mwanza unaoendelea kukua kwa kasi kubwa na wakazi wengi wakiongezeka kutoka mikoa mbalimbali kwaajili ya shuguli za uvuvi wa samaki pamoja na shuguli nyingine za kibiashara

TABIA MBALIMBALI ZA WANYAMA WA POLINI

Nyoka aina ya Anakonda katika misitu ya Amazon

Sunday, February 12, 2012

MBUGA ZA WANYAMA NA FAIDA ZAKE

Je? ni jinsigani tunanufaika na mbuga za wanyama au ifadhi zetu za taifa? nini kifanyike ili tuweze kunufaika na ifadhi za taifa? majangiri wanapunguza idadi ya wanyama waishio polini kwa kuwawinda na kuwauwa ili waweze kujipatia kipato sio jambo zuri kuingia katika ifadhi za wanyamapoli na kuwunda bila kibali nivizuri tukawatunza wanyama wetu ili baadaye watuletee faida kubwa kwa taifa letu

MATATIZO YA MGAO WA UMEME

Kutokana na kuwepo kwa matatizo mbalimbali ya kukatika ovyo kwa umeme pasipokua na mpangilio uliomahalumu watanzania walio wengi wamejitokeza kulalamikia kuhusu tatizo la mgao wa umeme linaloendelea baadhi ya mikoa ikiwemo mwanza bila ya kujua chanzo ni nini na bilakupewa taarifa yoyote ama ratiba ya mgao uwo ukizingatia sikuchache zilizopita tanesco ilitangaza kupanda kwa gharama za umeme chaajabu nikwamba gharama zimepanda lakini uboreshaji wa miundombinu bado ni dhaifu ndokama hivyo umeme kuanzia asubui mpaka jioni aupo je? tufanyeje?